Nipe utofauti kati ya kubet na kufanya biashara?

junno

Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
18
Reaction score
18
Jamanii embu nielezeeni utofauti kati ya kubet na kufanya biashara lakini nahisi kama zinaendana hivi embu tudiscuss hii mada kwa hoja zakueleweka
 
Zamani ilikua ukifunua chupi unakutana na tako Ila Siku hizi unafunua tako unakutana na chupi-bikini
 
Biashara ni baba na betting ni mtoto...

yaani betting ni aina ya biashara yenye risk kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…