Nipeleke wapi bajaji?

Nipeleke wapi bajaji?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF
Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo.

Sasa Kuna kijiwe huku kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/=

Na mzunguko wa kawaida Sana.
Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure kujiunga pia mzunguko wa pesa Ni mkubwa.

So Kama Kuna mtu yoyote anajua kuhusu bolt na kijiwe au faida na changamoto za kijiwe na bolt HSA town

Naombeni msaaada Ndugu Zangu
Ahsante Sana
Nawapenda wote
 
Jiunge kote kote
 
Ili afanye kazi kwa uhuru lazima awe na kijiwe maalum itamsaidia na ulinzi pia ata hao walio bolt wanavijiwe vyao vinavyotambulika kupitia vijiwe vinavyotambulika unakopesheka pia kama mikopo ya pikipiki na bajaji nmb bank moja ya kigezo uwe kwenye kikundi cha bodaboda kinachotambulika ndio ivyo vijiwe, nimeandika kwa haraka kama kuna spelling mistake sory.
 
Nashukuru Sana
 
Habari JF
Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo.

Sasa Kuna kijiwe huku kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/=

Na mzunguko wa kawaida Sana.
Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure kujiunga pia mzunguko wa pesa Ni mkubwa.

So Kama Kuna mtu yoyote anajua kuhusu bolt na kijiwe au faida na changamoto za kijiwe na bolt HSA town

Naombeni msaaada Ndugu Zangu
Ahsante Sana
Nawapenda wote
Na afunge tracking device ili kumonitor mizunguko ya chombo chake kila siku.

Kama hivi👇🏾👇🏾👇🏾

IMG_20220807_220116.jpg

Screenshot_2022-08-08-06-48-39-513_com.ytwl.jpg
 
Back
Top Bottom