Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Jiunge kote koteHabari JF
Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo.
Sasa Kuna kijiwe huku kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/=
Na mzunguko wa kawaida Sana.
Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure kujiunga pia mzunguko wa pesa Ni mkubwa.
So Kama Kuna mtu yoyote anajua kuhusu bolt na kijiwe au faida na changamoto za kijiwe na bolt HSA town
Naombeni msaaada Ndugu Zangu
Ahsante Sana
Nawapenda wote
Nashukuru Sana Mkuu!Jiunge kote kote
Muhimu ni kuwa flexible tu apige uber,bolt,kijiweni na abiria njiani piaNashukuru Sana Mkuu!
Ushauri wako Muhimu Sana.
Una chochote Cha kuongeza mpendwa?
Nashukuru Sana!Muhimu ni kuwa flexible tu apige uber,bolt,kijiweni na abiria njiani pia
Kila La kheri mkuu
Shukran bossNashukuru Sana!
Mungu akupunguzie Changamoto mbalimbali!
Una roho ya pekee Sana boss.
Pamoja
Nashukuru SanaIli afanye kazi kwa uhuru lazima awe na kijiwe maalum itamsaidia na ulinzi pia ata hao walio bolt wanavijiwe vyao vinavyotambulika kupitia vijiwe vinavyotambulika unakopesheka pia kama mikopo ya pikipiki na bajaji nmb bank moja ya kigezo uwe kwenye kikundi cha bodaboda kinachotambulika ndio ivyo vijiwe, nimeandika kwa haraka kama kuna spelling mistake sory.
Na afunge tracking device ili kumonitor mizunguko ya chombo chake kila siku.Habari JF
Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo.
Sasa Kuna kijiwe huku kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/=
Na mzunguko wa kawaida Sana.
Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure kujiunga pia mzunguko wa pesa Ni mkubwa.
So Kama Kuna mtu yoyote anajua kuhusu bolt na kijiwe au faida na changamoto za kijiwe na bolt HSA town
Naombeni msaaada Ndugu Zangu
Ahsante Sana
Nawapenda wote
Hii Ina faida gani?Na afunge tracking device ili kumonitor mizunguko ya chombo chake kila siku.
Kama hivi[emoji1484][emoji1484][emoji1484]
View attachment 2317578
View attachment 2317581