Nipeleke wapi Bajaji?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF

Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo.

Sasa Kuna kijiwe huku kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/=

Na mzunguko wa kawaida Sana. Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure kujiunga pia mzunguko wa pesa Ni mkubwa.

So Kama Kuna mtu yoyote anajua kuhusu bolt na kijiwe au faida na changamoto za kijiwe na bolt HSA town

Naombeni msaaada Ndugu Zangu

Ahsante Sana
Nawapenda wote
 
Njoo, External kwenda Maji chumvi hadi kwa Mkua au Kimara Korogwe kwenda kwa Mkua. Nauli 700 kwa kichwa wanakaa wanne, kote bize sana wanakesha utapiga fedha. Kuhusu kujiunga nenda mwenyewe kajue utaratibu na Ada yao. Barabara ni safi kabisa lami ya zege
 
Ahsante Sana kwa Mawazo Yako!
 
Changamoto ya wizi imekaaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…