Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora

Joined
Jun 25, 2015
Posts
69
Reaction score
32
Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora uliotukuka hakika nyie ni mfano wa kuigwa.

Tunatarajia mtatenda haki kuelekea wiki hii ya kuachia post za waliopata ajira
 
Hiv lini wanaachia mkeka maana roho ipo juu juu tu.
 
Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora uliotukuka hakika nyie ni mfano wa kuigwa.
Tunatarajia mtatenda haki kuelekea wiki hii ya kuachia post za waliopata ajira
Acheni unafiki kusifia sifia tu
 
Hivi walimu hasa ninyi graduates huwa mna matatizo gani ya akili.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Acha kudanganya watu Ajira ni mpaka second week of June kwenye tarehe 10-14
 
Yawezekana mwezi wa sita,ila haijulikani lini.
 
Back
Top Bottom