Mjomba ni Mama
Member
- Jun 25, 2015
- 69
- 32
Hiv lini wanaachia mkeka maana roho ipo juu juu tu.Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora uliotukuka hakika nyie ni mfano wa kuigwa.
Tunatarajia mtatenda haki kuelekea wiki hii ya kuachia post za waliopata ajira
Haki imetendeka kwa 100%. Kulingana na vigezo vilivyo ainishwa.Unawasifu utendaji uliotukuka na hauna uhakika kama wametenda haki.
Wiki hiiHaki imetendeka kwa 100%. Kulingana na vigezo vilivyo ainishwa.
Acheni unafiki kusifia sifia tuNipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora uliotukuka hakika nyie ni mfano wa kuigwa.
Tunatarajia mtatenda haki kuelekea wiki hii ya kuachia post za waliopata ajira
Yale yalikuwa mapendekezo tu ,mkeka ukitemwa ndio tutajuaHaki imetendeka kwa 100%. Kulingana na vigezo vilivyo ainishwa.
Bado sana Subirini. Yanaweza Toka mwezi wa 8 hukoHiv lin wanaachia mkeka maana roho ipo juu juu tu
Bado sana Subirini. Yanaweza Toka mwezi wa 8 huko
Vigezo gani vilivyo ainishwa?Haki imetendeka kwa 100%. Kulingana na vigezo vilivyo ainishwa.
Kumbuka Mshahara Unaongezeka mwezi wa 7 .Duuuh mbn wakatisha tamaa mkuu lkn