NIPENI ABCD ZA RWANDA NATAKA NIKATAFUTE MAISHA

NIPENI ABCD ZA RWANDA NATAKA NIKATAFUTE MAISHA

Sulusi jr

Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
5
Reaction score
8
Hello guys, kati ya nchi ambazo natamni kwenda ni rwanda kiukweli moyo wangu unaniambia ntafanikiwa nikiwa kule mwenyeji anipe basi maelekezo nianzie wapi mi nikifika huko kazi yoyte ntapiga mhimu iwe legally ata viabarua2
 
Duh,Yaani uondoke Tanzania yenye Mikoa mikubwa kuliko Rwanda uende ukatafute Maisha Rwanda.Any way Kila la Heri ila Fahamu kwamba Population Density ya Rwanda ni 550 na ya Tanzania ni 80 So Jiulize Tena Fursa iko wapi?
 
Duh,Yaani uondoke Tanzania yenye Mikoa mikubwa kuliko Rwanda uende ukatafute Maisha Rwanda.Any way Kila la Heri ila Fahamu kwamba Population Desinty ya Rwanda ni 550 na ya Tanzania ni 80 So Jiulize Tena Fursa iko wapi?
Hayo yote nimeyaona ila mi nataka niende huko
 
Back
Top Bottom