Nipeni bei ya ndizi hapo sokoni kwenu

Nipeni bei ya ndizi hapo sokoni kwenu

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
Wapendwa kwema poleni na majukumu nimeona fulsa kidogo hapa kijijini kwetu.

Kakatika pitapita zangu nimeona fulsa ya ndizi huku kijijini kwetu nimeona zinapatana kwa wingi sana sasa kabla sijaanza kusafilisha nilihitaji kujua bei ya huko sokoni kwenu ikoje nione kama inalipa.

Kama nitapata dalali moja kwa moja wa sokoni itakuwa vyema mkoa wowote naleta ndizi ila cha msingi ni soko la uhakika.

Asanteni ...
 
Back
Top Bottom