Nipeni business plan ya biashara ya vifaa vya umeme??

Screw zinamulika mulika?
Wewe hii biashara ya umeme huiwezi, utakuja kuua watu bure.

Ushauri:
Tafuta jiko la mkaa ufanye biashara ya kuchoma mishikaki ya nyama ya mbwa na chips. Utapiga pesa kuliko mwamposa
Uzuri mteja anaenda dukani kutafuta kitu anachokijua tofaut na biashara ya dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…