Kama kweli umeamua kuachana nae futa no yake ya simu kwenye simu yako, then jitahidi uisahau na kichwani yaani jiweke busy sana, akikupigia simu pokea wakati mwingine usipokee akikuuliza kwanini hujapokea mwambie nilikuwa busy au sijaisikia, usithubutu kumpigia simu wala kujibu sms yoyote, akikuuliza mwambie niko busy, akikusumbua sana kuhusu sms mjibu asante, ndio au hapana usitoe maelezo yoyote. hapo kama anaakili atakuacha yeye mwenyewe, ukiwa huna kazi ya kufanya, kuwa busy na kitu ambacho unakipenda kama ni kuangalia movie, kusikiliza mziki, kwenda gmy