Naxria abdalla JF-Expert Member Joined Feb 28, 2025 Posts 204 Reaction score 379 Apr 1, 2026 #1 Guys mmeamka vizuri, habari za asubuhi Naomba nipeni hiyo dawa kuna mtu nimtibie na nyinyi ndio madaktari wangu nawategemea karibuni
Guys mmeamka vizuri, habari za asubuhi Naomba nipeni hiyo dawa kuna mtu nimtibie na nyinyi ndio madaktari wangu nawategemea karibuni
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,582 Reaction score 123,152 Apr 1, 2026 #2 Miguu kuwaka moto husababishwa na mambo mengi, Ikiwemo Diabetes,Vitamin deficiencies au ulevi uliopitiliza, Kuwaka miguu moto ni sign ya nerve damage, So,ni vizuri zaidi ukamuona Daktari na ukapata vipimo na matibabu yake.
Miguu kuwaka moto husababishwa na mambo mengi, Ikiwemo Diabetes,Vitamin deficiencies au ulevi uliopitiliza, Kuwaka miguu moto ni sign ya nerve damage, So,ni vizuri zaidi ukamuona Daktari na ukapata vipimo na matibabu yake.
Naxria abdalla JF-Expert Member Joined Feb 28, 2025 Posts 204 Reaction score 379 Apr 1, 2026 Thread starter #3 The Icebreaker said: Miguu kuwaka moto husababishwa na mambo mengi, Ikiwemo Diabetes,Vitamin deficiencies au ulevi uliopitiliza, Kuwaka miguu moto ni sign ya nerve damage, So,ni vizuri zaidi ukamuona Daktari na ukapata vipimo na matibabu yake. Click to expand... Oh sawa ahsante nilijua wanatibiaga kiswahili tu
The Icebreaker said: Miguu kuwaka moto husababishwa na mambo mengi, Ikiwemo Diabetes,Vitamin deficiencies au ulevi uliopitiliza, Kuwaka miguu moto ni sign ya nerve damage, So,ni vizuri zaidi ukamuona Daktari na ukapata vipimo na matibabu yake. Click to expand... Oh sawa ahsante nilijua wanatibiaga kiswahili tu