Wakuu najiuliza zile chupa za jamii ya Altar wines, Dompo n.k hakuna mahali au viwanda vinavyotengeneza havizihitaji tena kufungashia kama wanavofanya viwanda vya soda!??? [emoji15]
Zimejaa mtaani na zinachafua mazingira
Hili haliwezi kuwa dili!?
Hebu nisanueni jamani mi nmepata idea ya kuzikusanya mtaani