Jamaa ana degree wewe bado unataka kuona majibu ya form 4? Duh kweli hali ngumu Dar.
tatizo liko wapi? hujawahi kuajiri?
nataka kuangalia uwiano
Nimeajiri na nimeajiriwa kama mtu ana degree majibu ya secondary/primary ni irrelevant kabisa.
Uwiano wa nini? Labda alikuwa kilaza O Level akakaza buti Uni au opposite, hauwezi kupata conclusion zozote za maana kwa kuangalia uwiano. Ungemwomba na ya primary na vidudu yakusaidie zaidi.
form four ulipataga div ngapi?
ulishawahi ku apply kazi mara ngapi
? uliitwa kwenye interview ngapi?
JF ni kila kitu kumbuka unaweza kupata msaada hapa zaidi ya ujuavyo
duhuuuuuuuuuuu kazi ipo kwanza sina vyeti vya kuunga uungaa ni direck kiki none stoperNimeajiri na nimeajiriwa kama mtu ana degree majibu ya secondary/primary ni irrelevant kabisa.
Uwiano wa nini? Labda alikuwa kilaza O Level akakaza buti Uni au opposite, hauwezi kupata conclusion zozote za maana kwa kuangalia uwiano. Ungemwomba na ya primary na vidudu yakusaidie zaidi.
Yani kang unaleta ubishi mpaka huku...kwamba ukiwa na degree hatuangalii nyuma?!wewe sikuwezi....
wana jf habari wandugu naomba mnipe dili hapa mjini pagumu kiukweli nakadgreee kangu kauhasibu wandugu mwenye shule, college, tuition center niweze kuwa hata tutorior wanamba, bookkeeping or accounting fleshi maisha yanasonga hata mwenye dili yoyote aweze niunganishe msaada pleaseeeeee am serious but you should be serious also
gud tym

unataka kufaham jamaa alifika fikaje level ya chuo na kupata degree!!?wabongo bhana.lolform four ulipataga div ngapi?
ulishawahi ku apply kazi mara ngapi
? uliitwa kwenye interview ngapi?
JF ni kila kitu kumbuka unaweza kupata msaada hapa zaidi ya ujuavyo