Habari ya majukumu wakuu...
Hiki kifaa nilikiona katika moja ya nyumba za wageni,sikupata nafasi ya kuuliza na kufahamishwa.
Hivyo naomba mwenye ufahamu wa hiki kifaa anijuze
Natanguliza shukuran
Habari ya majukumu wakuu...
Hiki kifaa nilikiona katika moja ya nyumba za wageni,sikupata nafasi ya kuuliza na kufahamishwa.
Hivyo naomba mwenye ufahamu wa hiki kifaa anijuze
Natanguliza shukuran View attachment 3185473
Hiyo ni yakunyonyoa kuku ndugu,kwani unaye kuku wakunyonyoa sikukuu hii?ama umevamia mtumbwi wa kibwengo na kukutana na hiyo kitu.Nakushauri uwaulize wenyeji waliokukaribisha.