Nipeni hela niwatafsirie alichokiandika Jokate kwenye Birthday ya alikiba

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Watu wengi walisubiria kwa hamu sana kuona jokate ata post nini kuusu alikiba kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu sana akapost maneno ya lugha ingine kabisa nakuwaacha wambea hoi sasa kwa kua mimi ni mbobezi wa lugha hii nipo tayari kuwa tafsiria ila kwa sharti la kunipa ela mnataka umbea lipieni
 
Alieandikiwa yy atatafsiliwa na nani maana naskia lugha ya malkia imepita kushoto
 
Hahahah...mi ntaipata then ntakuja kuweka hapaa free of charge ....ambae ana huo ujumbe anitag haraka hhahahaah
 
Kaa hapo hapo,watakuja wake wa kiba watakupa pesa za kuwatafasiria.
 
Mbona English hii ni very broken........
 
Alichokiandika it's a broken french.. I believe alitumia Google translate....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…