Nipeni hela niwatafsirie alichokiandika Jokate kwenye Birthday ya alikiba

Hebu wewe unayedhani katumia google translate tuandikie hayo aliyoyaandika kwa Kifaransa sanifu na fasaha..
Siwezi kuandika yote cz with her broken french sikuelewa yote ..but let me try...bebe joyeux annif, je t'aime bcp...je te souhaite Le meuilleur du fond De Mon coeur ...
Quoi Que ca soit, sache Que Jojo Est toujours avec toi....je remercie dieu De t avoir eu comme ami...
Sois beni
 
[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] tutafsirie mkuu
 
Hajawaacha wambea wote hoi, wambea wengine wameelewa lugha aliyotumia, ndo wanataka wapewe hela ili watafsiri kwa wemgine.... Yaani mbea kaona fulsa

ISHU JE, KAMA SIJUI LUGHA ILIYOTUMIKA, NTAJUWAJE KWAMBA TAFSIRI NILIYOPEWA NI SAHIHI? Au ndo utakuwa umbeya mwingine?
 
hata kama ni kujiajiri hii yako imezidi, bora uombe kazi kwa bwana yule.
 
Mbona English hii ni very broken........
najua ni vigumu kuamini kuwa mimi huwa napenda sana maparachichi.
ndizi za kuiva ukichanganya na mafenesi,ni hayo tuu KIBA,
lakini ninakusihi sana ,usisahau kuja na matikiti.

joketi alikuwa anamaana nzuri sana si umeona tafsili yake???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…