Nipeni hongera jamani

Wana jf nipeni hongera leo
nimepata mtoto wa kiume ktk hospitali ya muhimbili. he is such a
darling boy. But u cant believe what i have been through. jamani
niliumwa mpaka nikajuta. but now am happy.

Hongera sana. M'mungu akukuzie.
 
Maumivu yake unaweza kujinyoa nywele zako zote kichwani
kwa kutumia mikono.

alafu kesho unakuta mtu anampiga mtoto wako kichwani
hapo unaweza ukamwambia nini.

Anaumaje? Unaweza kunywa bahari.
 
Hongera mwaya, Mungu awape afya njema wewe na mtoto. ...tunamsubiri akue awe kada wa CCM.
 
Anaumaje? Unaweza kunywa bahari.

usiseme jamani ila natamani siku moja mtu anayetaka kujua apewe uchungu japo wa dk 5 hapo ndipo watakapopata experience nzuri kwa kusema tu huwez elewa
 
Hongera na Mungu awajalie afya njema, kijana akue akimjua Mungu.
 
nilikwwenda ka first truck but sijachelewa nilienda asbh nikiwa serious nikajifungua mchana huu.

Hongera na hongera zaidi kwa kuwa na hiyo nguvu ya kuingia JF.....maumivu yameisha?pole.
 
Hongera na hongera zaidi kwa kuwa na hiyo nguvu ya kuingia JF.....maumivu yameisha?pole.

ukiwa kwenye kitana cha hosp huna cha kufanya zaid ya kuchat hasa na watu kama jf. siku inasogea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…