Nipeni hongera jamani

Hongera dia, Mungu atukuzie kitoto chetu 😛ray2:
 
Dah Hongera kwakweli, "mtoto wa kiume dume la simba linawinda popote litakulinda" - SK ktk uncle JJ
 
Pamoja na hongera za Kaseisi tambua kuzaa sio kazi bali kazi kulea. Kumbuka watu wote waliokusumbua sana katika maisha yako nao siku moja walikuwa watoto wachanga wakapindishwa kwenye malezi
 
Hongera. Mungu akubarikini na akupeni afya njema, wewe pamoja na mtoto.
 
nilikwwenda ka first truck but sijachelewa nilienda asbh nikiwa serious nikajifungua mchana huu.
Duh! Unajifungua kwa maumivu makali afu fasta unaingia JF. Lea mtoto huyo mama, hii adikshen ya JF utatubemendea mwanetu tumlaumu shemeji yetu bure.
 
Maumivu yake unaweza kujinyoa nywele zako zote kichwani
kwa kutumia mikono.

alafu kesho unakuta mtu anampiga mtoto wako kichwani
hapo unaweza ukamwambia nini.

Nimeona wamama waliotukanwa na watoto wao. Eeh Mungu wabariki wanawake waliozaa na kuwalea watoto wao ktk njia iwapasayo.
 
hongera jamanii
Hongera sana
MUNGU amfanye awe mtu mkuu duniani
 
Hongera sana! Pole pia kwa 'kazi' nzito uliyoifanya.
 
Wana jf nipeni hongera leo nimepata mtoto wa kiume ktk hospitali ya muhimbili. he is such a darling boy. But u cant believe what i have been through. jamani niliumwa mpaka nikajuta. but now am happy.

Hongera sana kwa kutujuza pia. Nawatakia kila la kheri wewe na mtoto
 
Hongera sana dada....mungu akukuzie mwanao.
 
WANA JF kuzaa kwa njia ya kawaida kama hujpata shida ya kuchanika mtoto akisha toka tumboni ugonjwa unaisha. kinachobaki ni kuchat na friends kwenye cm tu. niko sina shida yeyote kwanini nisichat na wana jf????????? afterlall nimechat usiku wote manake sin cha kufanya na mm natamani usiku uishe pakuche niende kwangu. mmenipa company sana God bless you all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…