Nipeni hongera jamani

hmm unanikumbusha 2010.......hongera sana mpendwa....
 
jamani napenda vitoto vikiwa vichanga,vinafurahisha sana.
Hongera sana dear.
 
Hongera sana na Mungu awalinde na kuwafadhili....Barikiwa sana mtu wa Mungu.


Wana jf nipeni hongera leo nimepata mtoto wa kiume ktk hospitali ya muhimbili. he is such a darling boy. But u cant believe what i have been through. jamani niliumwa mpaka nikajuta. but now am happy.
 

Kumbe unaweza kujifungua kwa njia ya kawaida afu K isichanike? Leo ndo nimeamini kumbe kweli K zina dayameta tofautitofauti kama ilivyo mishedede.

Sipati picha ile kitu yenye medula oblangata itapitaje pale free....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…