Nipeni IST ya 5ml

Nipeni IST ya 5ml

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari wakulungwa, nahitaji IST namba C.
Iwe nzima
Iwe na documents zote
Hela mfuko wa shati
Iwe Dar
0755963775 WhatsApp only
 
Utapata tu mkuu vuta subra. Shule zinaanza kufunguliwa j'tatu.
 
Utapata tu mkuu wasikuvunje moyo ila uwandae na pesa ya madalali kuna jamaa yangu amepata iyo iyo namba c tena alikuwa anaendesha demu katoa mil.5 na madalali laki tatu.
 
Back
Top Bottom