Nipeni kazi mimi ni fundi wa kujenga

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437
Wakuu , naombeni kazi
Naweza kudizain raman za nyumba na kujenga, pia ukinipa ramani yako naweza kukupa makadirio kuanzia msingi, kupaua adi plaster..
 
Uko mkoa gan?
Nyumba ya vyumba vi3 kimoja master, dinning, sebule unajenga kwa shingap paka boma linasimama
Kujenga ad kupaua ? Milioni mbili laki 7.. Maongezi yapo kulingana na mahitaji yako .. Nipo moshi mkuu

Nipe budget yako!
 

Hii kutoka msingi mpk boma tu itakula bei gani? Na ufundi pia bei gani?
 
Nahitaji plaster ya fensi nioe bei kiwanja ni 30 kwa 35
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…