Nipeni maana halisi ya neno BODABODA

Boda boda maana yake ni mpaka kwa mpaka border to border, asili ya neno hili ni kule Uganda ambapo wavusha magendo mpakani walitumia pikipiki kuvushia magendo mipakani 😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…