Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Hata kama ungekua na gari ya uwezo wa kukimbia zaidi ya 200km/hr huwezitoboa MZA-DSM kwa masaa sita,never and impossible kwa gari ya ardhini.Kadanganye kwenu,labda kunayo wajinga wenzio huko.
Practically impossible maana njiani kwa usiku yamejaa malori mengi Sana, halafu check Mwanza-shinyanga 1 hr, shinyanga nzega 1hr, nzega singida 2hrs, singida Dom 1hr, Dom Moro 1hr, Moro Dar 1hr...
Hapo hujachimba dawa,wala kuangalia pembeni...never on Earth hata road yote uwe pekeako never
 
Mwanza Dar unatumia saa 7,mbona nyingi,Tafuta mnara wa mitandao ya Simu panda juu,kisha jiachie huku umefumba macho,sekunde chache utakua umeingia Dar[emoji1] [emoji1]
 
Ukifika dar karibu Sinza hapa mkuu ushushie kitu baridi upooze koo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…