Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Ni kuhusu virusi vya ukimwi.
Nina dada angu ni nesi hospitali flani sasa mwezi huu alikuaja likizo nyumbani.
Bahati mbaya likizo yake ikaenda sambamba na mjomba etu kupata ajali ya gari na kuvunjika mguu tunaishi nae eneo moja.
Sasa baada ya taratibu za operation mjomba akaruhusiwa kurudi nyumbani lakini ikabidi awe anachomwa sindano za maumivu (Intramuscular).
Ikabidi dada angu aombwe awe anamchomea pale pale nyumbani akakubali na ndo ikawa utaratibu kila jioni anaenda kumchoma.
Siku moja hivi wakati anamchoma alipomaliza akawa anavua gloves huku sindano akiwa ameishika ili zile gloves ziifunike ile sindano bahati mbaya sindano ikamkwangua kidogo na kamchubuko kadogo pia alipatav akaignore tu kwa kuamini kwamba ni kitu kidogo its ok na yeye anambia ile sindano ya IM yani Intramuscular ukichoma vzuri inaenda kwenye musclea bila kucontact na blood na utaitoa ikiwa haina blood kabisa (sjui kama ni kweli).
Basi siku zimepita zaidi ya wiki sasa jana akaskia fununu au niseme story kwamba mjomba ni HIV positive kachanganyikiwa san mana kama ni PEP ameshachelewa leo asubuhi nimemsindikiza kupima majibu ni HIV negative
Sasa anamawazo sana kwamba huenda ndo yupo kwenye Window period au ndo kama alivonambia siku za nyumba kwamba huenda sindano haikucontact na blood au ilitoka bila drops yoyote ya blood yn ilitoka ikiwa dry.
Kwa vithibitisho tulivovipata leo inaonesha kweli mjomba ni HIV+ amechanganyikiwa analia tu.
Hebu nisaidieni mawazo yenu juu ya hili waungwana na wataalam wa afya.
Wasalaaam.