Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Sihitaji salamu maana nina hasira sana kuona maisha ya wananchi wenzangu yakiwa duni kutokana na sera mbovu za uongo za chama cha kijani. Nahitaji kuwatumikia wananchi wangu wa Kata ya Mpwayungu kupitia chama cha mioyo ya watu mwaka 2025 kama nitachaguliwa kupeperusha bendera.
Naombeni tactics nianze mapema kabisa kwa wale wazoefu. Najua kuiba kura nikawaida yao ila kwa mimi siyo mtu ya kuibiwa kura, nitaweka mawakala wazalendo na kuhakikisha ulinzi wa kura zangu kwa asilimia mia moja.
Nawapenda sana wananchi wangu. Asante.