Habarini wana jamvi,swal langu ni kwamba je mwanamke inabidi asubir mda gani kabla ya kupata mimba nyingine baada ya kupata miscarage au kutoka kwa mimba maana wife mimba iliharibika na imepita miez miwil tu amenasa tena so wasiwasi mwingi.

ilitoka ikiwa na miez mingapi?kama walimsafisha vizur hakuna shida anshika nyingine kama kawaida acha wacwac suns we komaa na lishe bora zen apate muda mwingi wa kupumzika usimfanyishe kaz kam kufua,kudek na nyinginezo mana pia zinapelekea kuchoropoa mimba cunajua anwake wa cku hz,we mpe mahitaj yke yote na kama hujafuatilia jarib kufuatilia uone ni nn kilipelekea mimba kutoka kama ni sabab za kibaiolojia muende hospital kabla nae hyo hajchoropoka bila hivyo utapiga pushap sana watoto wataishia njian,mwsho kabisa muombe mungu akujaalien mtoto mana yy ndio mpangaj wa kila jambo nina iman utampenda na kumjal bibie mana ww ndo chanzo cha yy kua ivo,wala ucwaze mpe moyo mwenza wako mana hawa wanaangalia vidume wanawaza nn bt ukimpa moyo atafurah na hataona kama amepoteza.gudlak