Nipeni Pole

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Jana nimekutana na demu wangu ambaye nilifanya nae matusi mara moja, mwezi wa saba, mwaka jana
Ni demu mkali mno, ni mhudumu wa hoteli maarufu hapa town.

Kwa sababu nilikua najali maisha yangu, nilitumia kinga,kwani nilijua wahudumu wengi wa mahoteli si waaminifu.
Yeye ndo alinisisitiza nisitumie kinga, kitu ambacho kilinifanya niamini hata kwa wengine huwa anawashauri hivo.
Kwasasa ameolewa na ana mtoto anayenyonya.
Najilaumu kwanini nilivaaga c***om, kwani nilimkuta akinyonyesha, inamaana hana maambukizi ya ngoma.
Actually nisingevaaga ningemfaidi sana yule mtoto.
 
eeeeeeeeeeeeh dunia ina mambo!
 
nani alikwambia wanaonyonyesha hawana ngoma?....na pia ungemkira mtoto wa watu bure
 
Karne hii bado kuna watu wanaamini eti kwa kuwa mtu ananyonyesha basi hana maambukizi ya ngoma? Dah! Huyu ni mtu ambaye naamini ana elimu yake. Sijui wale ndugu zangu ambao hawajawahi kuliona darasa inakuwaje.

Mungu aepushie mbali! LMAO!
 
nani alikwambia wanaonyonyesha hawana ngoma?....na pia ungemkira mtoto wa watu bure

Umeniacha mbali kidogo kwenye hiyo blue mshiki! Nimekugongea senksi umeiona?
 
KakaJambazi ulitaka kuyafanyia maisha yako UJAMBAZI na kuyaua kwa dhuluma ya tamaa. Mshukuru mungu hapo ulipofika. Maisha lazima yaendelee!!
 
Wee kaka Jambazi wewe! Mshukuru Mungu ulivaa. Mimi nina ushahidi wa watu walionyonyesha watoto wao na huku wana maambukizi. Usijejaribu kuchezea kamari maisha yako
 
nilikuwa namaanisha kum'bemenda mtoto wa dada wa watu
Ahaa! Kwa hiyo ukaamua kuandika Ki-hanjo siyo? Afu ndo nini ulichofanya sasa? Ngoja ntakuPM......
 
Karne hii bado kuna watu wanaamini eti kwa kuwa mtu ananyonyesha basi hana maambukizi ya ngoma? Dah! Huyu ni mtu ambaye naamini ana elimu yake. Sijui wale ndugu zangu ambao hawajawahi kuliona darasa inakuwaje.

Mungu aepushie mbali! LMAO!
Yani kweli hii kali, sijawahawi kuhisi kuna such ignorancy hata hapa JF.
 
Halafu, pls mods peleka kule ukubwani, we dont need this here.
 
Actually nisingevaaga ningemfaidi sana yule mtoto.
kweli wewe kaka ni jambazi, yaani ulimega mke wa mtu? hehehe anyway, majuto siku zote ni mjukuu! sasa hivi unajutia kwanini ulimega na cd, lakini ungeuvagaa umeme ungejutia tena kwanini hukumega kwa cd, kazi kweli kweli! we endelea kuangalia tu kwa macho! mwenye mali anakula tunda lake taratibuuuuuuu!
 
Pole sana kakajambazi kwani unaonyesha jinsi unavyojifikiria wewe tu!!! how far are you sure kwamba wewe hujaathirika?... kuna vituo vya ushauri nasaha tena bora nakushauri uende huko upate ilmu
Kwasasa ameolewa na ana mtoto anayenyonya.
Najilaumu kwanini nilivaaga c***om, kwani nilimkuta akinyonyesha, inamaana hana maambukizi ya ngoma.
Actually nisingevaaga ningemfaidi sana yule mtoto.
Aisee kweli unahitaji elimu maana sio kila anayenyonyesha hana ukimwi
 
Are you serious?????? mungu atuepushe na watu kama wewe!!
 
Endelea na tabia hiyohiyo nzuri ya kuvaaaa xxxxx tena ikiwezekana vaa hata nne kwa mpigo ikipasuka moja zinabaki tatu. Binadamu huishi mara moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…