Nipeni Pole


Hii yako ni zaidi ya kali. Yaani haina mfano, any way pole ndugu.
 
nakupa pole kwa ujinga ambao bado unakufunika!

Kwanza hata lugha hujui eti ...kufanya matusi! unanikumbusha enzi zile nipocheza baba na mama!


Hivi una umri gani haswa kijana?
 
Mi naumiza kichwa siamini na wewe kama mzima katika afya yako.
 

I rest my case. Nakushauri umwone Dr Ndossi au Kilonzo ili upate counselling ya nguvu. Advise watakayokupa ni zaidi ya pole....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…