Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mh Mwamasika alijiuzulu Ubunge ili akawe Askofu wa KKKT 🙏
Akagombee wapi? Na kwa ajili ya kupata Nini?Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.
Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime.
Askofu Bagonza kwa nini hakutia nia kugombea hata udiwani, achilia mbali ubunge ambao anaweza kuupata?
Ana mada za kufa mtu, heri akazitoe siasani na bungeni.Akagombee wapi? Na kwa ajili ya kupata Nini?
Maisha yake huwa hayaakisi anachokiongea.Ni mbabe, hapendi kukosolewa, na amewapa mzigo mzito waluteri kwa michango na ni kiguu na njia Kwa safari. Pia anawatoto mitaani.Rejea skendo ya mama wa Arusha.Hata ubolozi wa nyumba kumi hapati.Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.
Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime.
Askofu Bagonza kwa nini hakutia nia kugombea hata udiwani, achilia mbali ubunge ambao anaweza kuupata?
Heri aka practice kile anachohubiri.Maisha yake huwa hayaakisi anachokiongea.Ni mbabe, hapendi kukosolewa, na amewapa mzigo mzito waluteri kwa michango na ni kiguu na njia Kwa safari. Pia anawatoto mitaani.Rejea skendo ya mama wa Arusha.Hata ubolozi wa nyumba kumi hapati.