Prof Kibogoyo Senior Member Joined May 31, 2016 Posts 112 Reaction score 164 Sep 2, 2022 #1 Habari zenu wanajamii. Mwenye gari Suzuki Escudo old model au RV4 old model nahitaji. OFA yangu milion 5 itaongezeka kutegemea na ubora wa gari. Wale maboss wa namba E mtupeni hizo namba D na C sisi maskini kwenye nchi ya tozo tumalizie.
Habari zenu wanajamii. Mwenye gari Suzuki Escudo old model au RV4 old model nahitaji. OFA yangu milion 5 itaongezeka kutegemea na ubora wa gari. Wale maboss wa namba E mtupeni hizo namba D na C sisi maskini kwenye nchi ya tozo tumalizie.