Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
NakaziaAge yako tafadhali??
Nilimuona juzi anaondoka na nyumba hahaaaWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naombeni tafsiri sahihi kwa kiswahili ya sentensi I saw him leaving the house
Aksanteni na karibuni
Nilimuona akiondoka nyumbani.Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naombeni tafsiri sahihi kwa kiswahili ya sentensi I saw him leaving the house
Aksanteni na karibuni
Uzi ufungweNilimuona akiondoka nyumbani.
Habari mateNilimuona akiondoka nyumbani.
#faizaFoxy upo positive sana kwenye kila post zako,Nilimuona akiondoka nyumbani.
Nilimuona akitoka nyumbani.
Nilimuona akiondoka nyumbani.