Nipeni tafsiri ya 'Extreme Sports' kwa Kiswahili sanifu!

Nipeni tafsiri ya 'Extreme Sports' kwa Kiswahili sanifu!

King Nzomo

New Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Jamani extreme sports kwa Kiswahili ni nini? Fikiria michezo kama vile surfing, mountain climbing, bungy jumping, sky diving, na kadhalika!
 
english is not reachable.... nitarudi baadae acha kwanza nikazikiri
 
Haya! N'tangoja majibu yako.


sijarudi ila nilikuwa nachungulia tu kama hawa wenye BBC* na CNN* vyao wameshapita hapa ili nisibane nafasi wakati uwezo kwa kujibu sina... wakipita niambie nije

* BBC na CNN = kingereza
 
extreme sports kwa kiswahili ni michezo hatarishi mara nyingi huhusisha kasi, nguvu nyingi nk
 
Back
Top Bottom