Jemsi Senior Member Joined Mar 22, 2012 Posts 149 Reaction score 19 Aug 29, 2012 #1 Jamani jina langu lipo kwenye admited facult TCU lakini clioni kwenye chuo nilichochaguliwa?nipeni ufumbuzi,
Jamani jina langu lipo kwenye admited facult TCU lakini clioni kwenye chuo nilichochaguliwa?nipeni ufumbuzi,
Z Ze Blessed Senior Member Joined Aug 12, 2012 Posts 123 Reaction score 13 Aug 29, 2012 #2 kaka hli limeshaongelewa sana b4 hujapost smthng chunguza kwanza.
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Aug 29, 2012 #3 MAJINA YASHAENDA VYUONI...ila kwa hilo lako nadhan shida ni chuon na sio tcu...hapa unaweza pia wapigia tcu ukaongea nao kwa msaada zaid!!!
MAJINA YASHAENDA VYUONI...ila kwa hilo lako nadhan shida ni chuon na sio tcu...hapa unaweza pia wapigia tcu ukaongea nao kwa msaada zaid!!!
F fidelis zul zorander JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 685 Reaction score 176 Aug 29, 2012 #4 Sisi wengine ndo hatujui hata kama yamefika chuoni ama vipi...mpaka leo hawajatoa kwenye web yao..