Nipeni ufumbuzi wana JF kuhusu hili???

Jemsi

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
149
Reaction score
19
Jamani jina langu lipo kwenye admited facult TCU lakini clioni kwenye chuo nilichochaguliwa?nipeni ufumbuzi,
 
kaka hli limeshaongelewa sana b4 hujapost smthng chunguza kwanza.
 
MAJINA YASHAENDA VYUONI...ila kwa hilo lako nadhan shida ni chuon na sio tcu...hapa unaweza pia wapigia tcu ukaongea nao kwa msaada zaid!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…