ushabiki/upenzi umehamishia wapi? chini,lager...zamani mimi nilikuwa Yanga.Siku hizi nimeachana na ushabiki/upenzi wa timu,michosho tu.Na zile kamati zao za ufundi zinaniudhi kama nini,badala ya kucheza soka wamekazania sangoma!
Sijaona ushauri mwanana hapa, zaidi ya nasaha
ushabiki/upenzi umehamishia wapi? chini,lager...
Mimi ni mshabiki mkubwa wa Dar es salaam Young African ya Tanzania pamoja na Liverpool Fc ya England.Kutokana na mwenendo mzima wa timu ninazozishabikia naona upo umuhimu wa kutuliza mawazo kwa kuchagua kwa muda timu zingine zinazofanya vizuri katika mashindano mbalimbali kwani 'kama mtu anaweza kubadili dini itashindikanaje kubadili timu ya kushabikia japokwa msimu mmoja?!'
Kwa maoni yangu hapa TZ ningependa kwenda upande wa pili wa shilingi namaanisha Wekundu wa msimbazi Simba na England pia Man U.Bila ubishi hizi ndio timu ambazo zitanitoa presha na mlolongo/mgandamizo wa mawazo kila kukicha.
Sasa wadau nyinyi kwa maoni yenu mnaona imekaaje?
Ziondaughter huyu anakuchokoza eti eeh? Chini anamaanisha nini afadhali angeacha lager tu. Si eti Zion dadangu?ushabiki/upenzi umehamishia wapi? chini,lager...
THUBUTU YENU!! hamchomoki kipindi hiki na tunaanza hapo 31/10/2009....karibu sana tutauwa mnyama hivi karibuni!
Yani huyu inaonyesha hana dada kwao sio kosa lake.Na mie sijamuelewa hiyo chini hapo anamaanisha nini.Ziondaughter huyu anakuchokoza eti eeh? Chini anamaanisha nini afadhali angeacha lager tu. Si eti Zion dadangu?