Nipeni ushauri

Hakuna namna we mwambie ukweli tu ...hakuna kuachwa ambako hakuumizi ....ila wanaume but why [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Chunga sana wanawake wa mtamdaoni. Inawezaje mpenda mtu usiyemjua?
 
Mchukue. Siku mkeo akijua nae akabadilika, usije hapa kusema wanawake wabaya. Ugonvi unauamza mwenyewe
 
Hamjawahi kuonana alafu unashindwa kumuacha... Achana nae fanya mambo mengine...
 
Hahahaaaa, yaani utoto mwingine dah.
Manake kwanza nicheke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…