Tunakulaga chakula bora cjui ww mwenzetu unakula nn ?
...ha ha ha ha..haya sasa Bitoz panda dau hapa!utapiga bingo Bakhresa anasubiri!Mavi ya ajuza!!
Hahaahaaa......Anzisha Uzi utaona watu km watachangia kwa spidi au kusuasua halafu cheki na likes utakazogongewa.....Ndo utajijua
wewe ndo kwanza nakuona hapa leo.Sijui na mimi ni star!
Maana sijielelewi.
Ni kweli but lengo langu co kuutafuta ustaa ...nimeandika huu Uzi ili kujua MAWAZO ya wadau kuhusu MTU akiwa maarufu humu JF ananufaikaje ?Ustar unakuja automatically directly proportional to mass and density (joke)!!! 2pac alikufa hata kabla sijazaliwa Ila naambiwa ni star kwa mtu amabaye hayupo tena duniani
Mi mbona wa kitambo, ujue kuna watu wengi wa siku nyingi lakini mpaka sasa hawafahamiki.wewe ndo kwanza nakuona hapa leo.
Mi mbona wa kitambo, ujue kuna watu wengi wa siku nyingi lakini mpaka sasa hawafahamiki.
Mwambie aje apige pesa(aniuzie ID yake)
Hahaaaa....... Ikoje hiyo Mkuu?Mkuu utakua na nyota ya K-sal