Nyota ya K-sal ndiyo nini?Mkuu utakua na nyota ya K-sal
Hahaaaa....... Ikoje hiyo Mkuu?
Nyota ya K-sal ndiyo nini?
HahahaaaMnamkumbuka ksal jamaa aliyeimba mkiwa
Jamaa kitambo kwenye game lakin hajulikani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii nakupa bureeeee kabisa manake mi mwenyewe inanitesa mbayaKaka niuzie ID yako....shida ni kuandika mada zako hasa zile za misukule nitachemka vibaya na kushtukiwa (Joking)
Upcoming JF starBado sijafika level hizo ni km underground tu....Ht ukitaja top 100 ya mastaa wa JF sidhani km nitakuwepo !!!