Nipepo wa ngono au ni kawaida??

Sinai

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
288
Reaction score
47
Jamani, nina rafiki yangu wa kike, yeye anapenda sana kufanya mapenzi.Yaani kama siku sijaenda kazini, anataka mchana apate round kadhaa, usiku tena round kadhaa, ikiwezekana anataka si chini ya round tatu(mchana 3 na usiku 3) au zaidi? Jamani hii hali ni yakawaida au huyu dada anapepo wa ngono? Nawakilisha!!!!!!!!!!1
 

mmefunga ndoa halali?
Usije ukawa unayahudumia wewe hayo mapepo..hebu nenda kahalalishe mapepo yaondoke...vinginevyo tutakupoteza
 
Labda we una tatizo

sasa subiri atoke nje ndio ujue tatizo lipo wapi...

Pepo la ngono ni kutembea ovyo ovyo na watu tofauti

mwanamke kujiachia kwako hivyo na kuwa muwazi unapaswa kushukuru
wengine wana prefer kutoka nje...
 



Ha ha ha ha ha SINAIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII habari yake bana........................
 
Daahhh
Haya bwana ..
sijui ndo unataka kusema
we ni mzuri sana kwenye hii
Idara yaani anakutaka masaa yote..

Nway u should be very happy
sababu watu wana complaine hawapati
za kutosha.. have fun usisahau plastic bag ..
 
Reactions: Mbu
Ha ha ha ha ha SINAIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII habari yake bana........................

mmh...jamani!
sasa sijui ni nani mwenye mapepo.....Dena naona hutaki mchezo...SINAI mkuu tafadhali, hivi upo kidato gani?...Tupunguzie mambo ya kitoto,
 
...maskini,
huenda hana uhakika na mzunguko wake wa mwezi.
Ni mbinu asilia ya kutafuta mtoto kwa 'ari kasi na nguvu zaidi!'
 
piga kazi hyo hadi kieleweke lakini unakula au unaduu tu.....
 
ndo matatizo ya vijana wa siku hizi, jandoni hamjapita hata kufatilia mafunzo mtandaoni na vitabuni mnaona tabu....mchape sawasawa mpaka akikuona hatamani tena kitu yako, sio unagusa juu juu af unategemea ataridhika, tena unabahati bado yupo na ww, vinginevyo nangeshakuacha.
 
Kanichanganya
Demu wa Asali, demu wa kupima, demu wa dozi mara 3
haya mkuu patia yeye dozi ndio raha yake
ukiacha anakwenda pata kwa mwingine
 
nakubaliana na itnojec utakua humfikishi mwanamke ukimfikisha to peake haeindi zaidi ya mara 3 na baada ya hapo atkaa wiki hatamani dume lakini ukiona kila siku anaachia miguu ujue unapiga rasharasha
 
Hahahahaha, hiyo ngoma bana huipingi vye inavyotakikana,itabidi uongeze uchuzi kiasi,piga ngoma kisha alifajiri akiamka hataki umkaribiye kabisa maanake imechubuka.
 
Yupo form two B!!!lol. Ndo huwaga wana hayo mambo sana!
mmh...jamani!
sasa sijui ni nani mwenye mapepo.....Dena naona hutaki mchezo...SINAI mkuu tafadhali, hivi upo kidato gani?...Tupunguzie mambo ya kitoto,
 
KWA KUFUATILIA KUMBUKUMBU ZA hizo thread alizotoa SINAI kwa mujibu wa MAKTABA YA DENA , inaonesha huyu ,
SINAI bado ni mvulana mdogo sana,,,UJANA BADO UNAMSUMBUA na ndiyo maana hata dose anayoitoa kwa huyo dada bado ni ya kitoto hatosheki.
POLE SINAI, UKIKUA UTATULIA NA DOSE PIA ITAKUWA YA KUSHIBA ,
JITAHIDI KULALA MAPEMA KUAMKA MAPEMA UKUE HARAKA, HAYO MAMBO YAPO TU HAYAISHI ,,lol
 
kwa kawaida mwanamke ana kiungo kiitwacho G spot na tafiti zina onyesha kiungo hicho kiki guswa vizuri hutoa ute mwingi na hapo mwanamke anakuwa amefika kileleni hali hii hupelekea kutosheka na kutotamani kila mara tendo so I think humfikishi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…