Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Mkuu hakuna Gari hiyo hapa Bongo.Mitsubishi DVR ndo ipo boss
Kwenye bandiko lako umeandika DVRMkuu hakuna Gari hiyo hapa Bongo.
Labda unazungumzia DVR usajiri
Mimi nazungumzia Gari yenyewe
Mitsubishi RVR
We uko wapi?Habari wakuu.
Kama unauza Gari yako itanunuliwa tu.
au unataka kubadirisha Gari yako kwa Gari nyingine nipigie simu.
Pia kama unarafiki yako anauza Gari nipigie simu tuokote pamoja.
Aina ya magari yanayohitaji ni haya.
(1) Subaru Non Turbo au Impreza.
(2) Gari yoyote aina ya Toyota.
(3) Mitsubishi DVR
(4) Mitsubishi Outlander.
📞0754693556
Nipo Dar Es Salaam.We uko wapi?
Nichek wasapNinauza gari yangu niko Japan
Shukran Mzee wangu nimeona.Kwenye bandiko lako umeandika DVR