Nipigwe ban ya siku 1 ikiwa Yanga atatwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho

Sharbel

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
1,393
Reaction score
2,759
Kama mnavyojua Yanga anacheza fainali yakombe la shirikisho, matumaini yangu kuwa atapata kichapo kikali toka kwa USM Alger hasa akiwa ugenini.

Ikiwa Yanga atatwaa hilo kombe mnipige ban ya siku moja.
 
Tafadhali naomba muufute tu huu Uzi maana mbivu na mbichi zimejulikana
 
Wazee Wa Lawama, Sasa Lawama watazihamishia Kwa Waarabu na CAF, utafikiri Wao hawakuwa na Dk 90 TZ..!
 
Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
 
Mods pigeon ban huyu mtu matokeo yamebadilshwa usiku wa manane Yanga bingwa
FB_IMG_1685857642318.jpg
 
Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
Hapa vipi ?
429033430.jpg
 
Kama mnavyojua Yanga anacheza fainali yakombe la shirikisho, matumaini yangu kuwa atapata kichapo kikali toka kwa USM Alger hasa akiwa ugenini.

Ikiwa Yanga atatwaa hilo kombe mnipige ban ya siku moja.
Wale ni vibaka.Wasingeweza kuutwaa ubingwa wa loosers.Wenyewe wamejishindwa.Loosers!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom