Nipitishie bank gani mshahara wangu ili nipate mkopo?

Benki ya Posta nimesikia kwa wengi
 
Nilichat na sales person wao.. ukiwa na net ya kuanzia 700,000 na kama ofisi yako ina mktaba nao.. ndani ya mwezi unaweza kukopa....unsecured loan
 
..., tunahitaji wataalam wa elimu ya mikopo, hasa hii ya ma-bank yetu yanayowahuju wakopoji, na waasilika wengi ni vijana ambao wachipukia, na kukurupuka kujiingiza kwenye mikopo yenye kuwaumiza na huku bank zikichuma faida kubwa kupitia kwa wateja wao wa mikopo. Cha muhimu nina shauri kabla hatujajiingiza kwenye mikopo tujifunze kupitia kwa wenzetu waliopiga hatua zaidi.
 
asanteni kwa michango yenu ninayopata kutoka kwenu wana JF
 
asanteni kwa michango yenu ninayopata kutoka kwenu wana JF

Hata mie nimepata elimu kidogo kupitia thread yako, ingawa wengi hawajagusa hasa nitty gritty za mabenki. Nadhani kwa taarifa zaidi inabidi tuwaone wahusika wa benki wenyewe.
 
bora uulize kwenye saccos vizuri au akiba bank wanaweza wakakusaidia vizuri !! ukitaka kujenga nichk kwenye 0717 442537,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…