Nipo Arusha natafuta mahali ambapo mtoto wangu anaweza kujifunza table tennis

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
968
Wadau kama heading inavyosomeka. Nipo Arusha, nina binti yangu ana umri wa miaka minane (08). Nilikuwa na wazo la kumjenga mwanangu awe mcheza tennis mzuri.

Kwa anayefahamu, naomba aniunganishe (anielekeze/anipe contact) za mahali ambapo binti yangu huyo anaweza kuwa anajifunza mchezo huo hasa katika siku za mwishoni mwa juma (week ends) na siku za likizo.

Wasalaam!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale kijenge nyuma ya ule uwanja mpira, kuna graund za tenesi ukifika pale utapata utaratibu.

Au nenda maeneo ya jimcana kuna ground kule wadau wapo wengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekushauri uwaulize wadau wa huo mchezo watakupa jawabu sahihi. Naweza kukupatia number ya Kocha wa Taifa umuulize. Kama uko interested nijuilishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…