KAma unataka kujirusha tafuta gorofa lolote refu kisha we jirushe tuMaana sio kwa jimvua hili;
Nisaidieni
Mto nduruma pale hamna samaki wala mamboMaana sio kwa jimvua hili;
Nisaidieni
Mile stone sikuizi hamna kitu bora hata Kwashabani pale pana kitimoto mojabsafi sanaAchana na hao wachangiaji wengine twende tukutane MILESTONE BAR tukapashe miili yetu joto au DARAJANI BAR.
Kuna kiwanja kipya kinaitwa "The fuzze" hutojutia pesa yako, kama unaweza kunicheki pia tukajumuika pamoja sio mbaya..Maana sio kwa jimvua hili;
Nisaidieni