Nipo barakuda, Awe Mwembamba Mrefu Kidogo Mweupe Pee

Nipo barakuda, Awe Mwembamba Mrefu Kidogo Mweupe Pee

Kama nakuona vile,usijali nimekurahisishia kazi kwa picha watakuja wahusika
15538303_254149568363449_5353057791021940736_n.jpg
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu sogea hapa
Juuu bar pendwa
Kwetupazur na leo n
Weekend wapo wakumwaga

Ushindwe ww tu
 
Na viatu mchomoko,surual za kubana juu pia ujue kucheza hata inde monie na kwasa kwasa
Has haa haa af kama huna
Ule mkulima wa mbao
Na baskel ya phonex aisees dem
Humpat
 
Hahaha! Upo nyumbani kwenu? Unaowataka wapo bize wanafanya homework!
 
Back
Top Bottom