NIPO BEIJING: Sky Eclat Nakutafuta.

NIPO BEIJING: Sky Eclat Nakutafuta.

Mweusi Mweupe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
332
Reaction score
322
Vipi Dada yangu kama ulifanikiwa kuolewa na yule Mchina hongera.

Lakini baada ya hongera, nataka kujua kama ulikuja kuishi huku. Kwa maana nahitaji nikuone.

Mimi naishi hapa mjini na nitakuwapo kwa muda Wa miezi 3 ijayo, kitongoji nilichopo ni Jianguomen mtaa ni Guangming West St.

Wako, mwana JF.
 
Sawa mkuu tumejua kuwa upo hung haa
 
Karibuni Korea huku Kisiwa cha Jeju full bata na akina Jun Ji Hyun,Park Choi Jin,na machizi wengine ni saa 9 usiku now tunashikilia viuno vya makahaba strippers hadi kucheerr
 
Back
Top Bottom