Nipo bored

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,645
Niko upset jaman!! Nipen ushaur wa buree nifanyaje...Najifeel bored na kila kitu!!..
Wanaoweza kunirudisha kwenye mood mapinfuzi ya fikra yaendelee nisaidien
Chochote kinachoweza change my mood
 
Jaribu kunywa kinywaji kipya kinaitwa KUNG FU
 
Niko upset jaman!! Nipen ushaur wa buree nifanyaje...Najifeel bored na kila kitu!!..
Wanaoweza kunirudisha kwenye mood mapinfuzi ya fikra yaendelee nisaidien
Chochote kinachoweza change my mood

Jitahidi utafute Ripoti One na Two za Makinikia za akina Professor Mruma na Professor Osoro kisha zipitie zote pamoja na Mapendekezo yake halafu utarudi tena humu kutuambia kama bado uko bored au baada ya kuzisoma sasa umekuwa active.
 
Ha haaaa
 
Niko upset jaman!! Nipen ushaur wa buree nifanyaje...Najifeel bored na kila kitu!!..
Wanaoweza kunirudisha kwenye mood mapinfuzi ya fikra yaendelee nisaidien
Chochote kinachoweza change my mood
Nenda kambi ya jeshi shusha bendera alafu utoke nduki......joking

Jitahidi kumuomba mungu akuvushe katika kipindi hichi akupe amani na furaha ....omba sana.....sali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…