Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 453
- 1,104
Salaam.
Leo nimepata safari ya kuja kigongo Busisi aiseee ukiwa dar es salaam huwezi elewa umuhimu wa hili daraja.
Magufuli aliona mbali sana na alipenda maisha ya watu wa chini yawe na nafuu ndio maana miradi yake mingi ililenga watu wa hadhi ya chini kama Stendi (stend za mabus nchi hii ziliota kama uyoga kwenye uongozi wake) na haya madaraja.
Nimeona umuhimu wa hili daraja na Magufuli baada ya kukaa ferry saa moja na dakika 32 kuvuka tu umbali wa Km 3.2 aiseee.
Hongera zake Magufuli ameacha alama.
Rais Dr Samia Suluhu Hassan na wewe ujenge pale kivukoni (ferry) Jijini Dar es salaam uache alama kubwa Kwa Watanzania.