Nakuona unakunywa maji ya uhai vhupa kubwa na kujifanya uko busy na simu.
Mademu wote hapa club huwanunulii unataka uwanunulie wa jamii f. Kwanza kalale uwahi kuamsha daladala lako la Mbagala to Kisemvule my friend dereva wa daladala
club gani? upo Kwenye kibanda cha gongo unasema club ama kweli sishangai ya mlevi kukimbia kivuli chake ...All in all ondoka hapo mahala coz umauti ukikukuta hali ya kuwa unamuasi Allah basi jua huo ni mwisho mbaya kwako