Nipo Dar, bodaboda yangu nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku?

MpembaOg

New Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni?
 
Una tamaaa, anza mdogo mdogo jf hatuna kitendo cha abiria wa bolt
 
Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni?
Karibu mkuu kwenye hii dunia yetu ya uafisaa usafirishaji.

Nidhamu ya pesa na umakini barabarani bila kusahau kujituma na KUOMBA DUA NJEMA KWA MOLA WETU

asylum aleikum.
 
Back
Top Bottom